Biashara ya Video Library

Mchanganuo wa Biashara Ya Video library VITU VINAVYO HITAJIKA


nameidadiBEiJumla
Plastic chair316000/=48000/=
Computer Table1120,000/=120,000/=
Sabwoofer ndogo 1 60,000 60,000 /=
Rent {kodi ya chumba} miezi 6 30,000 180,000/=
Leseni mwaka 1 40,000 40,000
CD shelf (mirror,wood) sarround 80,000
fast Computer (hdd 500GB/1tb to up) 1 400,000 350,000
extension 6way original 1 20,000
service 1 50,000 50,000
Memory Cards 1G/2GB/4GB/8GB 5each depend 120000
flash disk 2gb/4gb/8gb 3each 90000
card reader 10pcs 1000 10000
CD bongo movie 20 movie 1500 30,000
dvd collection 20pcs 1000 30,000
seasons movie (tafsiriwa) 10 latest 1000 40,000
TOTAL 1,218,000
1,300,000
profit:

cd moja ya bongo movie inauzwa.                 .3000
dvd collection 1 inauzwa.......                     2500 - 3000
season movie 1 inauzwa                            1500 - 2000
tegemea na eneo memory inategemea na ulipo chukulia(ntakuja kuweka wauzaji wa vifaa ivyo)
weka nyimbo kwa memory card nyimbo moja 1 shilingi 200/
burn cd kwa                   1500
burn dvd kwa                2500


 mwanzo mgumu vumilia hakikisha unatumia kauli nzuri kwa wateja. kua mbunifu katika biashara yako 


kama umependezwa na post hii unaweza fanya donation kwetu kupitia m-pesa 0758489123
asante



Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget