Mchanganuo wa Biashara Ya Video library
VITU VINAVYO HITAJIKA
nameidadiBEiJumla
Plastic chair316000/=48000/=
Computer Table1120,000/=120,000/=
Sabwoofer ndogo 1 60,000 ...Read more »
Kijana mmoja alishikwa akiwa anakatisha katikatiya shamba la mzee mmoja aliyekuwa tajiri nakatili wa kutupwa katika kijiji chake na kishakutupwa katika shimo lenye urefu wa zaidi ya futi40.
Ak...Read more »
Binti wa miaka 19 ambaye aliacha shule baada ya baba na mama kufa katika ajali mbaya na ndugu kutompa msaada aliamua kuondoka nyumbani na kwenda kuishi na kijana mmoja. Miaka 10 sasa amekuwa anakaa n...Read more »
Dada alikuwa airport akisubiri connetion ya ndege yake, wakatangaziwa ni 2 hrs waiting time.Akaamua kununua gazeti na box Dogo la biscuits, akatafuta sehemu akakaa kusoma gazeti kusubiri muda u...Read more »
YUPO mtu alikuwa anakabiliwa na umasikini wa kiwango cha juu. Kutokana na dhiki kumwandama, ilifikia wakati alitamani kufa kuliko kuendelea kuishi.
Pale alipokuwa anaishi, kulikuwa na eneo lenye msi...Read more »
Siku moja kijana mmoja masikini ambae ni kama machinga alikuwa akiuza bidhaa nyumba baada ya nyumba kwa ajili ya kupata pesa kugharamia masomo yake.
Akiwa anaendelea na biashara zake aliji...Read more »
Aliyoyasema Mke wake siku ya jubilei ya kutimiza miaka nane ya ndoa yao.
Mpendwa mme wangu,
Umenifanya nijivunie sana kuwa mke wako. Tunaposheherekea miaka yetu nane ya Ndoa ningependa ni...Read more »